HUYU NDIO SHABIKI WA KWELI WA DIAMOND PLATNUMZ MCHEKI HAPA ALICHOFANYA

Diamond PlatnumzUshabiki hauna mipaka kwenye mambo mengi ya burudani, michezo na hata siasa. Huyu anajiita shabiki namba moja wa msanii wa bongo fleva Diamond Platnumz na kwa mapenzi ya ukweli jamaa amechora tattoo ya jina la msanii huyu kwenye kifua chake. Haijulikani kam ni tattoo ya muda mrefu au ya muda mfupi.
Diamond Platnumz

1 Comments

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

  1. vizuri sana shabiki nawaombeni muendeleze moyo wa upendo kama uo

    ReplyDelete
Previous Post Next Post