UPDATES AJALI YA GALI MTAMA:: MAJINA YA WALIOFARIKI NA MAJERUHI YAKO HAPA

mzinga renata
Kamanda wa polisi wa Lindi Kamanda Renata Mzinga amethibitisha taarifa ya kutokea ajali ya gari No. STL 1615 LAND ROVER 110 YA TASAF MASASI, iliyokuwa inatokea Viwanja vya nane nane mkoani lindi kuelekea Masasi Ikiendeshwa na Kesi Mwaijande (47yrs) na kupata ajali katika kijiji cha Mtama Lindi Vijijini, Sasa Idadi hiyo ya waliofariki yafikia Nane na Majeruhi Tisa. Akizungumza na Lindiyetu.com Kamanda Mzinga amesema majeruhi sasa wamefikia Tisa na wamekimbizwa katika Hospitali ya Nyangao.


HII HAPA NI ORODHA YA MAJERUHI


  1. Habiba d/o Amlima, 49yrs, makua, Diwani mbonde masasi 
  2. Maimuna d/o Chiputa, 42yrs,mwera, Diwani masasi mjini. 
  3. Exaveria d/o mhagama, 44yrs, mngoni, Diwani masasi mjini.
  4. Abrahamu s/o Mohamed, 45yrs, makonde, mkulima, mtama.
  5. Brandina s/o Nakajumo, 60yrs, makua, Diwani mwenge mtapika masasi.
  6. Asha d/o Abas milanzi, 56yrs, makua, Diwani viti maalum masasi.
  7. Shabani s/o Issa kitemwe, 21yrs, makonde, mkulima, mtama.
  8. Ally s/o Adamu, 22yrs, makua, mkulima, mtama.
  9. Dereva .
WALIOKUFA
  1. Kadi s/o Issa salum, 33yrs, mwera, mkulima,mtama.
  2. Mariki s/o selemani, 24yrs, mwera, mkulima, mtama.
  3. Juma s/o Ally Ausi, 21yrs, myao, mkulima, mtama.
  4. Rajabu s/o Alfan, 17yrs, makonde, mkulima, mtama.
  5. Said s/o Salum mchora, 24yrs, makonde, mkulima, mtama.
  6. Fadhili s/o mchalasi, 26yrs, makonde, mkulima, mtama. 

na wa 7 na 8 bado hawajafahamika.

TAARIFA HIYO IMETOLEWA NA  D.5710 SGT ISSA, D.7178 CPL GHARIBU NA F.669 CPL DANIEL. CHANZO CHA AJALI NI MWENDO KASI

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post