ALI KIBA APELEKA KILIO BONGO MOVIES

ALI KIBA
STAA wa Bongo Fleva, Ali Kiba amepeleka kilio kwa mashabiki wa Bongo Movies baada ya kuifungia Bongo Fleva bao pekee katika mechi yao ya Tamasha la Usiku wa Matumaini Jioni ya leo Uwanja wa Taifa jijini Dar.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post