JE UNAMJUA HUYU KAKA ALIYEONGEZEWA HUKUMU KWA KOSA LA KUJAMBA MAHAKAMANI ? CHEKI HAPA

NOUMER SANA
Mkaka huyu alikua na kesi ya jinai mahakamani,amejikuta akiongezewa mashtaka baada ya kuulizwa maswali magumu sana na hakimu,na hatimaye akajikuta breki zimefeli na kuachia ushuzi mkubwa uliofanya mpka watu walioenda kuskiliza kesi ile kutoka nje na kuondoka kabsa.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post