Unknown Unknown Author
Title: TIGO YANUFAIKA MAONYESHO YA NANE NANE MKOANI LINDI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Umati wa watu waliofurika kwenye banda la Tigo Nanenane mkoani Lindi kushuhudia promosheni mbali mbali zitolewazo na kampuni hiyo. W...
TIGO NANE NANE LINDI
Umati wa watu waliofurika kwenye banda la Tigo Nanenane mkoani Lindi kushuhudia promosheni mbali mbali zitolewazo na kampuni hiyo.
TIGO NANE NANE LINDIWananchi wa Lindi wakishuhudia burudani ya sarakasi iliyoandaliwa na Tigo.
TIGO NANE NANE LINDIMeneja wa Mauzo wa mikoa ya Lindi na Mtwara kutoka Tigo Bw. Daniel Maimuya akimuelekeza Afisa Kilimo wa Mkoa Bw. John Likango jinsi ya kutumia huduma ya Tigo Kilimo, huduma inayomwezesha mkulima kupata taarifa ya jinsi ya kufanya kilimo cha kisasa kupitia simu yake ya mkononi.
TIGO NANE NANE LINDIWatoto wakicheza mchezo wa kujaza maputo katika maonesho ya Nanenane kitaifa yanayoendelea eneo la Ngongo mkoani Lindi na kudhaminiwa na Tigo.
Watoto wakifurahia mchezo wa ‘jumping castle’ spesho kutoka kwa Tigo

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top