Unknown Unknown Author
Title: PSPF YASHIRIKI MAONYESHO YA WAKULIMA NANENANE MKOANI LINDI KWA MAFANIKIO MAKUBWA YATESA NA MFUKO WA HIARI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mkuu wa wilaya ya Lindi Dr Nassor Ally Hamid (katikati) akisaini kitabu  cha wageni alipotembelea banda la mfuko wa Pensheni wa PSPF, ...
pspf lindi
Mkuu wa wilaya ya Lindi Dr Nassor Ally Hamid (katikati) akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la mfuko wa Pensheni wa PSPF, Wa pili kulia ni Afisa masoko Pspf Bi Rahma Ngasa na kushoto ni Afisa Mfawidhi PSPF Lindi,Bw Mtumwa Ramadhan
pspf lindiNaibu katibu mkuu wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngowi Mwihava (wa tatu kushoto) akipata maelezo ya huduma zitolewazo na PSPF Alipotembelea banda hilo katika sherehe za nane nane lindi, Kutoka kushoto ni meneja masoko pspf, Bi Rahma Ngassa, Mkuu wa wilaya ya Kilwa, Abdallah Ulega, Naibu katibu mkuu na Balozi wa pspf Mjomba Mrisho
Mpoto.
pspf lindiMwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Lindi, Abdulaziz Ahmeid akikabidhiwa fomu ya kujiunga na mfuko wa Hiari na balozi wa PSPF,Mjomba Mpoto.
pspf lindiAfisa Uendeshaji PSPF, Delphin Richard akitoa maelezo juu ya mfuko wa hiari kwa Bi Martha alietembelea banda hilo na kuridhia kujiunga na Mfuko wa hiari.Katikati niAfisa Mfawidhi Pspf Lindi, Mtumwa Ramadhan.


Tazama Picha mbalimbali za banda la PSPF katika Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo Nane nane katika viwanja vya ngongo, Manispaa ya Lindi 
pspf lindi
pspf lindi
pspf lindi

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top