Unknown Unknown Author
Title: ROJO ATUA MAN UNITED KUKAMILISHA USAJILI, NANI ATUA SPOTING LISBON
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Marcos Rojo akiwa na wafanyakazi wa Man Utd katika Hospitali ya Bridgewater baada ya kutua tayari kufanyiwa vipimo. ...Rojo akiele...
Marcos Rojo
Marcos Rojo akiwa na wafanyakazi wa Man Utd katika Hospitali ya Bridgewater baada ya kutua tayari kufanyiwa vipimo.
Marcos Rojo
...Rojo akielekea kufanyiwa vipimo.
Marcos Rojo
Mchezaji wa Argentina, Marcos Rojo akiwa kazini.
Luis Nani
Mshambuliaji wa Man Utd, Luis Nani amejiunga na Spoting Lisbon kwa mkopo.

KLABU ya Manchester United imekubali kutoa pauni milioni 16 kumnunua beki wa Sporting Lisbon, Marcos Rojo.Rojo, ambaye ametua mjini Manchester jana jioni na kusema kuhamia United ‘anahisi kama ndoto’, anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka minne akifaulu vipimo vya afya na kukubali vipengele binafsi vya kandarasi yake.

Louis van Gaal ametoa kipaumbele kwa usajili wa beki huyo mtumia mguu wa kushoto, Rojo, mwenye umri wa miaka 24, kufuatia kufungwa mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya England Jumamosi iliyopita na Swansea.

Winga Luis Nani, aliyejiunga na United kutoka Sporting kwa pauni milioni 17 mwaka 2007, amerejeshwa kwa mkopo katika klabu yake hiyo ya zamani, ikiwa ni sehemu ya dili hilo la Rojo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top