MAJINA NA NAMBA ZA JEZI ZA WACHEZAJI WA MAN UNITED MWAKA 2014/15 YAKO HAPA

Oldtraford
Manchester United wametoa majina na namba za jezi watakazo vaa wachezaji wake ndani ya mwaka 2014/15 kwenye Barclays Premier League. Wachezaji wapya kama Luke Shaw amepewa jezi namba 3 na Ander Herrera atavaa namba 21. Adnan Januzaj amerithi jezi ya Ryan Giggs namba 11. 

Orodha yote ndio Hii
1. De Gea; 
2. Rafael; 3. Shaw; 4. Jones; 6. Evans; 8. Mata; 10. Rooney; 11. Januzaj; 12. Smalling; 13. Lindegaard; 14. Chicharito; 16. Carrick; 17. Nani; 18. Young; 19. Welbeck; 20. van Persie; 21. Herrera; 22. Powell; 23. Cleverley; 24. Fletcher; 25. Valencia; 26. Kagawa; 28. Anderson; 29. Zaha; 30. Varela; 31. Fellaini; 34. Lawrence; 35. Lingard; 36. Vermijl; 38. M Keane; 39. Thorpe; 40. Amos; 41. James; 42. Blackett; 45. Petrucci; 46. Rothwell; 48. W Keane; 49. Wilson; 50. Johnstone.

Kupata Stori, Nyimbo Na Interviews, Bonyeza Hizi Tuwe Pamoja>> Twitter Na Facebook

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post