Unknown Unknown Author
Title: HOT:: HUYU NDIE MREMBO ALIYEDAIWA KUCHEPUKA NA JAY Z, SASA AJA NA WIMBO WA KUMDISS BEYONCE, CHEKI ALIVYO MREMBO HAPA NOMAA.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mrembo aliyeripotiwa kuwa mchepuko wa Jay tangu miaka miwili iliyopita ameamua kuachia audio na video ya wimbo wake maalum kumdiss Beyonce...
Mrembo aliyeripotiwa kuwa mchepuko wa Jay tangu miaka miwili iliyopita ameamua kuachia audio na video ya wimbo wake maalum kumdiss Beyonce, wimbo alioupa jina la ‘Sorry Ms Carter’.
Sorry Ms Carter

Katika wimbo huo, msichana huyo ameeleza kuwa alikuwa anamheshimu sana Beyonce na ndio sababu aliamua kutochepuka na mumewe, lakini anaona Bey amevuka msitari na ndio maana ameamua kumvaa.Mrembo huyo anamkumbusha Beyonce kuwa mumewe anapenda sana wasichana wazuri wanamitindo kama yeye.“You know what I was gonna respect you but since you crossed over into my lane it’s time to check you“The man? He likes model chicks. He likes all naturally flawless model chicks, like me.

 
You actin’ nonchalant for the audience / ‘Cause I ain’t just another shorty you put the naughty on.”Katika interview aliyofanya muda mrefu uliopita, msichana huyo alieleza kuwa alikutana na Jay Z wakati wanafanya tangazo na ndipo alipopata mshituko na kudata kwake. Alieleza kuwa baadae Jay Z alimtuma mmoja kati ya walinzi wake na alimuomba amuandikie namba ya simu kwenye karatasi ili baadae jamaa akitulia ampigie.Kwa lugha ya kujigamba, mrembo huyo anadai alionesha utofauti na kumkatalia kwa kuwa alimheshimu Beyonce.
>>TimesFm

JIUNGE NASI INSTAGRAM @official_lindiyetublog_fanpage UPATE MAPICHA YA MASTAA.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top