Baada ya Alikiba kuunfollow watu aliokuwa akiwafollow kwenye akaunti yake ya Instagram ameeleza sababu za kufanya hivyo.
Kupitia mtandao huo, Alikiba ameandika:
"Thank you for taking time to jot down your opinion . It would be good if you understood my point of view as well . The social platform that keeps me in touch with my fellow artists , fans and others across the world is twitter. Instagram is limited to pictures… hence more of a preference then an interaction platform . On twitter, I will continue to interact with my fellow artists and celebrities , entertainment and political shareholders , my dear fans and all others See you on twitter and thanks again for taking the time to share your opinion . Much appreciated
Haya ni baadhi ya maoni ya watu wanaomfollow.
Haulefadhili
Inakuwaje hakuna mtu unaye mfollow bro!! Ti me it doesn’t make sense and this means hakuna mtu yyte unaye mpenda au kumkubali or wat?? Wewe kwangu ni kama brother ila kwa hili la (( 0 follow)) silielewi.
Williamkiteleki
Even mi nimekua sana disapointed coz dunia now days imehamia kwenye social netwrk bro kiba..so kwa star kama wewe ukitaka ku coup na mastaa wenzako na hata watu mbalimbali na kujifunza mengine kutoka kwako lazma uwe nao karibu kwenye mitandao ya kijamii(follow them) coz dunian huwezi jua kila kitu kuna vingne lazma utajua kupitia wengne.. dats how life is.. so it will be gud sana kama ukizingatia hili kaka.. unaweza ukaona ni kitu kidgo bt am sure utajifunza vingi kupitia hilo bro.
JIUNGE NASI INSTAGRAM @official_lindiyetublog_fanpage UPATE MAPICHA YA MASTAA.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.