FURSA KWA WAPENZI WA YANGA MKOANI LINDI, FIKA ILULU JUMAMOSI AUGUST 9, 2014

naipenda yanga
Uongozi wa YANGA S.C, tawi la Lindi, kushirikiana na Benki ya Posta Tanz. Inawatangazia mkutano wa wana Yanga wote, siku ya Jumamos 09/08/2014, saa 4:00 asubuhi uwanja wa ILULU. KUTAKUWA NA: kugawa kadi za kisasa, kuchagua uongozi wa tawi, viongozi toka JANGWANI watakuwepo, mauzo ya jezi. Ufike na paspotsize 3 na kadi ya kupigia kura au leseni ya udereva. 
TUMA UJUMBE KWA WENGINE. 
MTOA 
Tangazo Namba 0715 925 111

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post