WENDY WILLIAM, MTANGAZAJI MZEE ALIYEJIACHIA NA KIVAZI CHA UFUKWE BILA WASIWASI

Wendy William
Mtangazaji Wa kipindi Cha Television Cha Wendy Williams Show, Wendy Williams Anayetarajia kufikisha Miaka 50 July 18, Bila Kujali Mmri wa ubibi aliofikia lakini naye ameonyesha bado anapambana na uzee kwa kutuvalia na kutuonyesha sehemu kubwa ya mwili wake baada ya kujiachia akiwa na kivazi cha kuogolea katika beach ya Vegas alipopata Deal ya ku host ‘Largest Bachelorette Party’ tangu ijumaa shughuli iliyohitimishwa siku ya jumapili.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post