Hatimae baada Ya Kukutana na waandishi wa habari, kuzindua kitabu chake pamoja na sinema yake ya Think like a Man 2, Mtangazaji wa kituo cha E Intertainment Terrence J Jana Tarehe 14 July aliongoza semina ya wasanii wa tanzania katika nyanja tofauti akiwa na jopo lake aliloongozana nalo katika ukumbi wa mikutano wa B.O.T jijini Dar Es Salaam
Terence J na ujumbe wake walitoa elimu ya kutosha kwa wasanii namna ya kuweza kufanya sanaa zao kufika mbali na kuwaingizia kipato kwa stahili inayotakiwa
Wasanii walipata Fursa ya kushare yao na wageni hao ambao walionekana kubobea na kuwa na uzoefu mkubwa katika maswala ya sanaa kwa ujumla.
Pamoja na Terence j pia palikuwa na David Banner Rapper Na Producer, Chaka Zulu Manager wa Msanii Luda Criss na Ravi Mfanya biashara, kwa pamoja kila mmojana na nafasi yake alielezea namna wasanii wanavyoweza kutumia nafasi walizonazo kusonga mbele na kupata mafanikio.

HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA WASANII WALIOHUDHURIA
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.