"Nikwa mda mlefu sasa nilikuwa nje ya nchi kwa maswala ya Music,ikiwemo kushiriki utolewaji wa Tuzo za BET zilizofanyika L.A nchini Marekan, na jana ndiyo siku niliyorudi, kiukweli sikutegemea kukutana na nilichokikuta, umati mkubwa wa watu waliokuwa wamejitokeza kunipokea, kiukweli imenipa faraja sana, kuona ni kiasi gani Watanzania wenzangu wamekuwa na uzarendo kwangu kiasi hiki, nawashukuru wote walioacha kazi zao ama kuvunja ratiba zao na kuja airport kunipokea, Ahsanteni na ninawapenda daima" Ni maneno ya Diaomnd Platnumz alipokuwa anaongea na mwandishi wetu kuhusiana na mapokezi hayo ya jana.
Home
»
HABARI ZA WASANII
» TAZAMA PICHA MAPOKEZI MAKUBWA YA DIAMOND PLATNUMZ ALIPOWASILI NCHINI PALE AIRPORT
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.