JIPYA LINGINE KUTOKA KWA DIAMOND PLATNUMZ, HEBU SOMA HAPA UNAWEZA SHINDA MILIONI MOJA

Diamond Platnumz
Haya ni maneno ya Diamond akitangaza kitu ambacho ukikifanya unaweza kujishindia milioni moja cash. Soma hapa na kama lipo ndani ya uwezo wako fanya ujishindia pesa kutoka kwa Diamond.
diamondplatnumz Nafkiri sasa ni wakati Muafaka!..Mi shida yangu ni Moja tu, nahitaji nipate style Maalum ya kucheza #Mdogomdogo .. iwe kutoka kwa Kundi au mtu yoyote kutoka nyumbani... Ukiwa unaamini unaweza kutoa style na ikatumika kama Mdogomdogo Dance tafadhari ntumie kuanzia sasa Kwenye namba hii +255652427989 au ipost kwenye Instagram yako kisha hash tag neno #MdogoMdogoDance nami nitairepost Hapa... Mwendo ni ule ule tu, Kikundi au Mtu atakaekuwa na Likes nyingi ndio tutaichukua Style yake na kuwa Official Dance style ya #MdogoMdogo .. Pia atapata Shilingi Milioni Moja Cash! na Kuwepo kwenye Video Mpyaaa ya Kucheza tu, iitwayo #Mdogomdogo_Instructional_Video pamoja na Team Nziiima ya Wasafi.....!!!! hii nimeipata kutoka Holland kwa @petitafricanmoves Waionaje..????
Na Hizi ni vidoe mbili ambazo tayari ameshazitupia kwenye account yake, Zicheki hapa:; 

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post