KUWA WA KWANZA KUISIKILIZA NA KUIPAKUA NYIMBO MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ - "MDOGO MDOGO"
byUnknown-
1
Miezi kadhaa iliripotiwa kuvuja kwa wimbo huu ambao uko kitofauti kidogo na aina ya muziki anaoufanya Diamond Platnumz,huu ni umeshakamilika na ameutoa kwa ajili yako unaitwa "Mdogo Mdogo".
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...
Bonge la wimbo na big up kwan umeonyesha kuwa unaweza miondoko tofauti ya muziki
ReplyDelete