Ijeoma Nnaj-Mshindi
Hili ni shindano lingine tena linalo husisha wadada wenye maumbo yao.....Wadada walio Jazia Jazia huko Nigeria. Shindano hili lilifanyika usiku wa Jana katika Hotel ya Federal Palace Hotel & Casino Na mtoto Ijeoma Nnaji akitokea Kano State ndio alieibuka mshindi....ambae amejinyakulia brand new car.
Mshiriki akiwa mbele ya Majaji
Washiriki wakiwa kwenye Mapozi ya Ukodak
vitu kama hivyo vinawachochea wqnawake kuvaa nguo zinazo kiuka maadili yetu havifai ni kueneza matatizo katika jamii!
ReplyDeleteKweli kabisa
ReplyDelete