Unknown Unknown Author
Title: RAYUU "NATAFUTA MWANAUME WA KUNIOA NA KUNIWEKA NDANI"
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Staa katika tasnia ya filamu Alice Bagenzi "Rayuu" amefunguka na kusema amechoka maisha ya kuishi kiupweke hivyo anatafuta mwan...
Staa katika tasnia ya filamu Alice Bagenzi "Rayuu" amefunguka na kusema amechoka maisha ya kuishi kiupweke hivyo anatafuta mwanaume wa kumuoa ili naye awe katika ndoa na aachane na maisha ya ukapera maana kwa sasa yanamuelemea na kila aonapo watu walio olewa jinsi wanavyoishi na wanaume zao basi na yeye anatamani sana maisha hayo.

Akifunguka Rayuu alisema "natafuta mwanaume wa kuniweka ndani ambaye atakuwa mkweli atanipenda kwani nimechoka maisha ya kisela nataka niwe mke halali wa mtu tena mwanaume atakayekuja kwangu nitampenda sana"
Pia aliongezea kwa kusema "mimi ni binti mzuri tena bado mdogo hivyo maisha ya kurukaruka nimechoka"

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top