Shukrani za dhati kabisa zinakuhusu wewe shabiki yangu wa kweli
kwa kuwa nami, kunipa moyo na kunipa sapoti hatua zote ninazopiga na siku zote niliahid kuwa zawadi pekee nitakayokuwa nakupa ni kazi
nzuri zaidi jukwaani, videoni na redioni.
hivyo basi siku ya leo ndiyo siku niliyoichagua kukupa fursa ya kutazama video yangu mpya (number 1 remix)niliyofanya nchini Nigeria na mwanamziki wa Nigeria Davido nina imani utaupokea kama ulivyofanya kwa kazi zangu zote za nyuma. Ameandika @Diamond Platnumz
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.