Hizi ni picha tano nilizopiga hapa ndani ya uwanja wakati timu zikifanya mazoezi kabla ya mechi kuanza.
Mpira Umeanza Hapa Stade TP Mazembe....
Half Time na Matokeo bado ni 0-0
Mazembe wanatawala Mchezo lakini wameshindwa Kupata nafasi ya Kufunga hadi sasa Kwa kweli Mpira ni wa Kasi na wakuvutia Sana.
KIPINDI CHA PILI KIMEANZA....
TP Mazembe wanapata Penalt hapa na Samata anaenda kuipiga Penalt hiyo......
Gooooooooooooooooooooooooool.........
Samata anakuwa Mfungaji Bora kwa kutimiza magoli 8 Hadi sasa...
Samata akipongezwa na Mchezaji mwenzake Baada ya Kufunga goli la Kwanza kwa TP Mazembe.
Gooooooooooooooooooooooooool. Tp Mazembe wanapata Goli la Pili kupitia kwa Assale kwenye dakika ya lala salama 90+4
Na Mpira Umekwisha
TP Mazembe vs USM Alger
CAF Champions League Final, Game 2
Today, 4:30 PM
Stade TP Mazembe
2 - 0
FT