Nyumba ya moja mali ya Mzee Nampembe,Mkoani Lindi. imeteketea kwa moto jana Usiku na kupelekea baadhi ya mali zilizokuwemo ndani ya nyumba huyo kushindwa kuokolewa. Hali hiyo ilipekekea Wananchi wa eneo la jirani na nyumba hiyo kupiga mawe gari la zimamoto baada ya kuchelewa kufika eneo la Tukio kwa ajili ya kuzima moto huo, Mmoja kati ya wakazi wa nyumba hiyo,alipoteza fahamu toka jana baada ya kupatwa na Mshituko.
Chanzo cha Moto imeelezwa kuwa ni Mshumaa baada ya kukosekana Umeme mjini Lindi usiku wa jana.
Wasamalia waliokuwepo eneo la tukio wakisaidiana kumbeba mtu mmoja aliepoteza fahamu baada ya kutokea kwa tukio hilo.
Vilio vilitala kwa wakazi wa nyumba hiyo baada ya kutokea kwa tukio hilo.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.