USIJIUE KISA HUJIU KUTONGOZA, SIKILIZA KISA HICHI HAPA NA UJIFUNZE JINSI YA KUTONGOZA MSICHANA UMTAKAYE. (+VIDEO)

kitanzi
Mvulana mmoja alifikia uamuzi wa Kujiua kisa tu alishindwa kumtomngoza Msichana aliyempenda kwakuwa msichana huyo aliolewa na mvulana mwingine mara baada ya yeye kuchelewa kummwagia sumu msichana huyo.

Najua suala hili liko kwa wavulana wengi japo kuwa hawataki kijisema wazi wazi kuwa wanatatizo hilo la "UDOMO ZEGE", Kufuatia kadhia hiyo nimekuwekea video hapa ujifunze, msikilize kwa makini Mama huyu atakupa Hints za kutosha.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post