
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Maadhimisho
ya Miaka 10 tangu kuanza kwa mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake Tanzania
(Female Future Program) pamoja na Mahafali ya Wahitimu wa Awamu ya 10 ya
Mafunzo hayo katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki Jijini Dar es
Salaam tarehe 21 Februari, 2025.
Matukio mbalimbali kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanza kwa
mafunzo ya Uongozi kwa Wanawake Tanzania (Female Future Program) pamoja
na Mahafali ya Wahitimu wa Awamu ya 10 ya Mafunzo hayo katika ukumbi wa
The Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Februari, 2025.
Tags
HABARI ZA KITAIFA