“NILIPATA UJAUZITO NIKIWA NA UMRI MDOGO SANA” -MADAM RITA

clip_image003Mkurugenzi wa Benchmark Production,Rita Paulisen aka madam rita amesema yeye ni miongoni mwa wanawake waliopata ujamzito wakiwa na umri mdogo lakini alikuwa jasiri wa kukubaliana na hali iyo hadi kafanikiwa, kupitia facebook Madam rita amewashauri wasichana wanaojikuta katika hari hiyo kutokata tamaaa kwa kuwa bado wanaweza ufanikiwa.
“Jambo mmoja msilolifahamu kuhusu mimi nilipata ujamzito nikiwa na umri mdogo sana.kwa jamii yetu inayotuzunguka ukizaa katika umri mdogo watu huwa wanakunyanyapaa, hukuona haufai kuwa katika jamii na hata kukuhukumu” alivyosema Madam rita

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post