TAHADHARI:: MAWIMBI MAKUBWA NA UPEPO MKALI PWANI YA NCHI-MAMLAKA YA HALI YA HEWA

clip_image002Kupitia website yao mamlaka ya hali ya hewa imetoa tahadhari ya kuwepo kwa upepo mkali wa mawimbi makubwa katika pwani ya nchi.

Taarifa hiyo inasema kwamba upepo huo na mawimbi utakuwa kwenye tarehe 25 hadi 26 mwezi 12 mwaka 2013.

Kipindi hiki cha sikukuu watu wengi huwa wanapenda kwenda maeneo ya beach kwa ajili ya mapumziko sasa inabidi tuwe makini kama sio kutafuta aina nyingine ya mapumziko.

hali ya hewa

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post