He Yide (5) ambaye amepewa jina la utani la Duoduo mkazi wa Nanjing China ameweka rekodi ya kuwa rubani mdogo zaidi duniani na sijui kama atatatokea mwingine wa kuvunja rekodi hii
Duoduo ana miaka mitano na nusu.
He Yide akiwa na Mwalimu wake wakati wa kurusha ndege hiyo
Mtoto huyu aliweza kurusha ndege hiyo akiwa na mwalimu wake kwa muda wa dakika 35 katika park ya beijing wildlife
Hi Yide akiwa na Baba mama yake na ndugu
Hebu tazama hapa video hii
Tags
HABARI KIMATAIFA