ANGALIA UKATILI HUU (VIDEO): WASICHANA WANAVYOCHOMWA MATITI YAO KWA MOTO ILI KUYAPUNGUZA YASIWE MAKUBWA..

clip_image003Aina fulani ya unyanyasaji iliyojificha ambayo inajulikana kama ‘breast ironing,’ ambapo wasichana wadogo kama miaka 10 wanayachoma maziwa yao  na vitu vya moto ili kujifanya wamekua inaweza kuwa inafanyika UK.

Unyanyasaji huu wakimila za kikameruni  uliwekwa ili kuondoa matamanio ya kimapenzi ya wanaume,mimba zisizohitajika na ubakaji kwa kuzuia dalili za kuwa mtoto wa kike anapevuka/anakuwa mtu mzima,gazeti la independent liliripoti.

Kwa wajuzi wanasema kuwa maelf ya wakameruni wanaoishi UK wanafuata mila hii.  Kuchoma matiti (Breast ironing)inatambulika na UN kama moja ya makosa ya jinai dhidi ya wanawake na kwa makadirio wasichana wadogo milioni 3.8 wameathiriwa na mila hii. ukiachia mbali kuwa inamaumivu makali,pia mila hii inahatarisha afya ya wasichan hao na kusababisha magonjwa na titi moja au matiti yote kupotea. 

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post