ULINZI WAANZA KUIMARISHWA MADUKA MAKUBWA DAR BAADA YA WESTGATE KENYA KUTEKWA NA MAGAIDI

clip_image002[5]Uongozi wa jengo hilo umeamua kuimarisha ulinzi wa namna hiyo kutokana na tishio la mashambulizi ya magaidi , hasa baada ya Mgambo wa Al Shabaab kushambulia Westgate Kenya na watu kadhaa kuuawa.clip_image002Wateja wakikaguliwa kabla kuingia kwenye maduka katika Jengo la Biashara la Quality Centre, Dar es Salaam jana

(PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post