UZINDUZI WA KAMPENI YA JAMAL MALINZI KUGOMBEA URAIS WA TFF NI HATAREEEEE.........

clip_image002[17]Mgombea nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),Jamal Malinzi akizungumza na Waandishi wakati wa Uzinduzi wa Kampeni zake za kuwania nafasi hiyo,iliyofanyika mchana huu kwenye Ukumbi wa Mikutano kwa Hoteli ya Hyatt Regency, Jijini Dar es Salaam.

clip_image002
Vijana wa michezo wakishima Mipira kulingana na Umri wao.


clip_image002[5]
Mgombea nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),Jamal Malinzi akizungumza na Waandishi wakati wa Uzinduzi wa Kampeni zake za kuwania nafasi hiyo,iliyofanyika mchana huu kwenye Ukumbi wa Mikutano kwa Hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam.

clip_image002[7]



clip_image002[9]
Wajumbe wa vyama vya soka nchini Tanzania wakifuatilia uzinduzi wa kampeni.


clip_image002[11]






clip_image002[13] 
Wanahabari na wadau mbali mbali wa Soka nchini wakiwa kwenye Mkutano huo.
clip_image002[15] 
Team Malinzi.
BOFYA HAPA KWA HABARI ZAIDI

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post