TELEVISION YA P. DIDDY REVOLT IMEANZA KWA KISHINDO

clip_image003
REVOLT is the new #1 name in music. Launching in October 2013 on Comcast's Xfinity TV and Time Warner Cable, the multi-genre, multi-platform music network delivers music news in real-time, and the best of the best in music programming. A "social by design" network built to play at the speed of social media, REVOLT is live, direct, and always on - anytime, anywhere, any screen.
Presented by multifaceted, entertainment powerhouse Sean "Diddy" Combs, REVOLT is led by an executive team of award-winning, media veterans that include Keith Clinkscales (ESPN, VIBE Magazine), Andy Schuon (Ticketmaster, Warner Brothers, MTV) as well as Val Boreland (Comedy Central, Lifetime Television). REVOLT is owned by Combs Enterprises.
P Diddy amekuwa ni mmarekani mweusi wa pili kuanzisha television yake baada ya Bob Johnson ambaye alikuwa wa kwanza kwa kuanzisha BET.
Television hiyo inategemewa kuwa nambari one kwenye nyanja za sanaa hasa ya Muziki kutoka na Ubunifu wa P.Diddy na Team yake ambayo imejaza wakongwe katika sanaa hiyo, Mbali na wajuzi hao pia Kama inavyo julikana kila anacho kigusa Diddy hakijawahi kufail.
Tutaendelea kuwaletea maendeleo ya Television hii!



Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post