HII NI TAARIFA MPYA KWA WATU WOOTE WANAOTUMIA MTANDAO WA FACEBOOK...!!!

clip_image003
Mtandao wa kijamii wa facebook una mpango wa kubadili sera yake ili kuwaruhusu watumiaji wake kuweza kuweka picha ambazo zina maudhui ya kutisha ambapo kama unakumbuka, May 2013 facebook ilipiga marufuku uonyeshwaji wa picha za
matukio ya vurugu na mauaji pamoja na matukio yanayohusisha umwagaji wa damu na viungo vya mwili vilivyokatwa.
Sasa hivi huo uamuzi unageuzwa japo hata hivyo facebook itaruhusu watu wenye umri wa miaka 13 na kwenda mbele  kujiunga na kuweka picha za matukio kama haya lakini bado sera ya usalama ya facebook itaendelea kuzuia picha zinazoonekana kutukuza vitendo kama hivi.
SOURCE: TZNEWS70

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post