Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ludovick Mwananzila akizungumza na wananchi wa Mji wa Lindi wakati upokeaji Tuzo za Bia ya Safari Lager mkoani kwake jana ikiwa ni ziara maalum ya Tuzo hizo kusherehekea pamoja na Watanzania Ushindi wa Bia hiyo ya Kitanzania barani Afrika.Ziara ya Tuzo za Bia ya Safari Lager inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ilikuwa Mkoani Mbeya. Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ludovick Mwananzila (katikati) akiwa ameinyanyua tuzo ya Ubingwa wa Jumla ya Tuzo za Bia Bora Afrika ambayo Bia ya Safari Leger inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Wengine katika picha ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi mjini, Dk. Hamid Nassor (kushoto) na Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ludovick Mwananzila (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mji ni Dk. Hamid Nassoro wakiwa ameshikilia tuzo ya Ubingwa wa Jumla ya Tuzo za Bia Bora Afrika ambayo Bia ya Safari Leger inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Wengine katika picha ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo na Mwakilishi wa TBL mikoa ya Lindi na Mtwara, Bariki Massawe.Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ludovick Mwananzila (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mji ni Dk. Hamid Nassoro wakiwa ameshikilia tuzo ya Ubingwa wa Jumla ya Tuzo za Bia Bora Afrika ambayo Bia ya Safari Leger inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL). Wengine katika picha ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo na Mwakilishi wa TBL mikoa ya Lindi na Mtwara, Bariki Massawe.Wakazi wa Mji wa Lindi wakiwa na furaha na tuzo za Bia ya Safari Lager wakati wa ziara maalum ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kuonesha Tuzo ilizoshinda Bia ya Safari Lager ambapo jana walikuwa Mkoani hapa.
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.