Unknown Unknown Author
Title: NEY WA MITEGO ANENA: “KUMJIBU NICK MBISHI NI KUMPA KICK”
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya Ney Wamitego amesema Nikki Mbishi na wasanii wengi wachanga huwa wanajaribu kuwa-diss wasanii wakubwa kwa l...

clip_image003Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya Ney Wamitego amesema Nikki Mbishi na wasanii wengi wachanga huwa wanajaribu kuwa-diss wasanii wakubwa kwa lengo la kupata jina.
Ney alizungumza hayo pale nilipotaka kujua kutoka kwake juu ya kitendo cha msanii Nikki Mbishi kutengeneza wimbo unaoitwa Ney Wamitego, wimbo ambao unaonekana moja kwa moja unamzungumzia Ney Wamitego kama mwanamke au mwanaume siyo.
Mwanzoni mwa mazungumzo yangu nilitaka kujua kutoka kwa Ney, anachukuliaje kitendo cha msanii huyo kuandika wimbo unaomzungumzia yeye, Ney alikataa kuzugumza hilo huku akisema "Yaani kaka mimi nikiongea kitu tu mimi nampa kick ile anayotaka yule dogo, mi sitakiwi kuongea kitu, yaani hiki ndio kitu ambacho watu wa karibu wamekuja wameniambia this time huyu amefanya hiki kwa sababu ya hiki, so dont talk anything"

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top