Msanii kutoka Uganda, Iryn Namubiru, alipokua katika tour yake USA. Alipiga magoti wakati akitumbuiza mashabiki, kitu kilichopelekea baadhi ya washabiki kumtomasa mapaja na kinachoonekana kama kushika sehemu zake za siri. Baadhi ya watu wameripoti kuwa msanii huyo hakuonekana kukerwa na kitendo hicho . Ripoti hizo za kwamba hakukerwa na aliwaachia mashabiki waendelee kumtomasa na raha zao, hazijathibitishwa hivyo haijulikani kama zina ukweli wowote au uzushi tuMashabiki waki endelea na kutomatha mapaja na mikono mingine ikionekana kwenda ndani zaidi kama picha inavyoonesha.
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.