Unknown Unknown Author
Title: MSHINDI WA PROMOSHENI YA VODACOM MAHELA AWASILI JIJINI KUKABIDHIWA KITITA CHAKE CHA SHILINGI MILIONI 100
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Bw.Matina Nkurlu, akimpokea Mshindi wa Droo kubwa ya "MAHELA "Bw.Valelian Nickodemus(...

Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Bw.Matina Nkurlu, akimpokea Mshindi wa Droo kubwa ya "MAHELA "Bw.Valelian Nickodemus(22) baada ya kuwasili katika kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es Salaam akitokea Mkoa wa Kigoma kuja kukabidhiwa fedha zake taslimu  kiasi cha shilingi Milioni 100. Atakazokabidhiwa hivi karibuni.Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu (katikati)akiongea na Mshindi wa Droo kubwa ya "MAHELA "Bw.Valelian Nickodemus(22)(kulia)baada ya kuwasili katika kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es Salaam akitokea Mkoa wa Kigoma kuja kukabidhiwa fedha zake taslimu hivi karibuni kiasi cha shilingi Milioni 100.anaeshuhudia kushoto ni mmoja wa wafanyakazi wa kituo cha mabasi Ubungo.Mshindi wa Droo kubwa ya "MAHELA "Bw.Valelian Nickodemus(kushoto) akihojiwa na  mwandishi wa habari wa ITV Emanuel Buhohela mara baada ya kuwasili katika kituo cha mabasi cha Ubungo jijini Dar es Salaam akitokea Mkoa wa Kigoma mahususi kwa ajili ya makabidhiano rasmi ya fedha zake kiasi cha shilingi Milioni 100 hivi karibuni.Kulia ni  Meneja Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu.Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,wakimsikiliza kwa umakiini Mshindi wa Droo kubwa ya "MAHELA "ambaye alijishindia shilingi Milioni 100 Bw.Valelian Nickodemus(22)akiwaelezea jinsi atakavyotumia fedha zake mara baada ya kukabidhiwa rasmi hivi karibuni.Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Bw.Kelvin Twissa,akimsikiliza jambo mshindi wa Droo kubwa ya "MAHELA "ambaye alijishindia shilingi Milioni 100 Bw.Valelian Nickodemus(22)baada ya kuwasili makao makuu ya Vodacom Tanzania yaliyopo Mlimani City jijini Dar es Salaam ambapo amekuja kukabidhiwa fedha zake za ushindi.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top