Kuna usemi unasema duniani wawili wawili.....Hapa ni picha za wasanii wa bongo na wa USA inasemekana wasanii hawa wanafanana...JE wewe unawaonaje waweza kutoa maoni yako pia baada ya kuziangalia picha hizi....MWANA FA NA FABULOUS
50 CENT NA GODZILA
QUICK RACKA NA T-PAIN
AMINI NA JOE THOMAS
Tags
HABARI ZA WASANII