Kwa Niaba ya Familia ya Bi Arafa(Pichani)Napenda kutoa shukrani za
Dhati kwa wale wote ambao waliguswa na hali ya Mgonjwa huyu na
kuridhia kumchangia ili kumtoa wilayani Ruangwa na kuwezesha Mimi
kumfikisha katika Hospital ya Muhimbili Mwezi Nov 2012 na juzi
kufanyiwa Upasuaji Hali ya Mgonjwa huyu inaendelea vema katika hospital ya Muhimbili akisubiria kutoa Nyuzi.
Mungu aliwawezesha kumsaidia mpaka hali ilivyofikia sasa na Kubwa
Nawaomba Muendelee kumuombea Dua ili aweze kupona na kuendelea
kujitafutia ridhiki ya kila siku.
Ahsanteni sana
kwa niaba ya Familia mimi Abdulaziz Ahmeid -0716483532 Lindi
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.