Mabingwa wa Mapinduzi Cup Azam Fc wanataraji kuelekea visiwani Zanzibar kwa ajili ya kutetea taji lao la kombe la mapinduzi walilolitwaa hapo mwaka jana.
Azam waliofunga mwaka kwa kutwaa ngao ya hisani jijini Kinshasa DRC walipo alikwa kushiriki mashindmano hayo, wanataraji kuelekea visiwani humo hapo leo na mchezo wao wa kwanza utachezwa kesho kutwa dhidi ya coastal union.
Wakati azam wakijipanga kuelekea visiwani, wenzao simba teyari wameshatua visiwani humo toka jana wakingoja mchezo wao wa ufunguzi dhidi ya jamhuri hapo kesho january 2.
MAKUNDI YA MAPINDUZI CUP
KUNDI A KUNDI B
Simba SC Azam Fc
Tusker Mtibwa Suga
Bandari Costal Union
Jamhuri Miembeni
RATIBA YA MAPINDUZI CUP HATUA YA MAKUNDI
02\01\2013 03/01/2013
TUSKER VS BANDARI MTIBWA SUGAR VS MIEMBENI
SIMBA VS JAMHURI AZAM FC VS COASTAL UNION
04\01\2013 05/01/2013
JAMHURI VS BANDARI MTIBWA SUGAR VS COASTAL UNIONI
SIMBA VS TUSKER AZAM FC VS MIEMBENI
06\01\2013 07/01/2013
TUSKER VS JAMHURI MIEMBENI VS COASTAL UNIONI
BANDARI VS SIMBA SC MTIBWA SUGAR VS AZAM FC
Michezo ya awali ni saa kumi alasiri na ya pili ni saa mbili usiku
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.