Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geoffrey Nyange Kaburu akimshuhuidia kocha mpya wa klabu hiyo, Mfaransa Patrick Liewig akisaini mkataba wa miezi 18 leo katika hoteli ya Spice, Lumumba, Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geoffrey Nyange Kaburu akisaini kwa niaba ya klabu mkataba wa kocha mpya wa klabu hiyo, Mfaransa Patrick Liewig
Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geoffrey Nyange Kaburu akibadilishana mikataba na kocha mpya wa klabu hiyo, Mfaransa Patrick Liewig baada ya kusaini mkataba wa miezi 18 leo katika hoteli ya Spice, Lumumba, Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa Simba, Evodius Mtawala na nyuma ni Meneja wa hoteli ya Spice, Mzee Moshi Omar Mbury.
MFARANSA AANGUKA MIEZI 18 SIMBA SC
Title: MFARANSA AANGUKA MIEZI 18 SIMBA SC
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geoffrey Nyange Kaburu akimshuhuidia kocha mpya wa klabu hiyo, Mfaransa Patrick Liewig akisaini mkataba wa m...