HAPA NDIPO ALIPO LALA SHALO MILIONEA

HII NDIO NYUMBA YA MILELE ALIYO LALA KIPENZ CHA WA TANZANIA NDUGU YETU SHARO MILIONEA
Mwili wa marehemu Sharo Millionea ndio umelala humu, nivigumu kuamini lakini ndio hivyo mapenzi ya Mola kamtanguliza.
Mama Yake Hussein Sharo Millionea Akilia Kwa Uchungu

Mwili wa marehemu Sharo Millionea ukiwa umebebwa 
Mzee Majuto, ambaye ni patner namba moja na Marehemu Sharo milionea katika kazi zake enzi za uhai wake.

Previous Post Next Post