OFFICIAL VIDEO MUSIC || WALEO BAND - RANGI YA CHUNGWA || ITAZAME HAPA
byUnknown-
0
Kundi la Waleo Band leo hii wameachia Video yao mpya ya wimbo "Rangi ya Chungwa" Audio imenyongwa kutoka Studio za Ban Music na Video imefanywa na Studio 8.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...