Duuuuu!!!! NOMA Hata hili mpaka atoe kauli MAGUFURI?
byUnknown-
0
Hii ni barabara pekee isiyozidi km 1 Yenye lami Wilayani Liwale Mkoani Lindi ambayo haijafikisha miaka 2 toka iwekwe lami lakini hali ndiyo Hiyo na TANROADS LINDI Wanajua hali hiyo.... Picha na Abdulaziz video,Liwale