TBL YAMWAGA VIFAA VYA MIL.10 WIKI YA USALAMA BARABARANI

image

Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Mohamed Mpinga (kushoto) akimshukuru Mkurugenzi wa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo baada ya kupatiwa na TBL msaada wa fulana na kofia vyenye thamani ya sh. mil. 10 kwa ajili ya maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama yatakayofanyika mkoani Kagera kuanzia Oktoba 3-8, mwaka huu. Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam juzi.

image

Meneja Miradi Maalum wa TBL, Emma Oriyo 9kulia) akibadilishana mawazo na Ofisa Usalama barabarani, wakati wa hafla hiyo. ya kukabidhi msaada wa fulana na kofia za kampeni ya Wiki yaUsalama Barabarani, vyenye thamani ya sh. mil.10.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post