Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akipokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Mhe. Chung IL, Balozi Mteule wa Jamhuri ya Korea hapa nchini. Hafla hiyo ilifanyika Ofisini kwa Mhe. Waziri
Mhe. IL, Balozi Mteule wa Jamhuri ya Korea hapa nchini akimkabidhi zawadi Mhe. Waziri Membe mara baada ya kuwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho.
Mhe. IL, Balozi Mteule wa Jamhuri ya Korea hapa nchini akimkabidhi zawadi Mhe. Waziri Membe mara baada ya kuwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho.
Mhe. Waziri Membe akiagana ba Mhe. IL, Balozi wa Jamhuri ya Korea hapa nchini mara baada ya Balozi huyo kuwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho. Mwingine katika picha ni Bw. Songtae OH, Naibu Balozi.wa Jamhuri ya Korea.
Mhe. Membe akizungumza na Mhe. IL, Balozi Mteule wa Jamhuriya Korea hapa nchini mara baada ya kuwasilisha Nakala za Utambulisho.Picha Zote na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Tags
IKULU DAR ES SALAAM