KILA LA KHERI JOHN BOCCO S.A

Mshambuliaji wa Taifa Stars John Bocco Adebayor yuko nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kufanyiwa majaribio katika Klabu ya Supersport United, endapo Boko atafaulu majaribio mazungumzo yatafanyika na Klabu yake ya Azam ili aanze kukipiga nchini humo kama mchezaji wa kulipwa.

Kila la heri Boko.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post