Unknown Unknown Author
Title: HARAKATI ZA UCHAGUZI WA CCM WILAYA NA MKOA WA LINDI WAANZA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
WAGOMBEA WAWILI WAJITOKEZA KUGOMBEA UENYEKITI WA CCM WILAYA YA LINDI MJINI Mgombea Uenyekiti wa CCM Wilaya ya Lindi Mjini,Muhsin Rafii Ism...
WAGOMBEA WAWILI WAJITOKEZA KUGOMBEA UENYEKITI WA CCM WILAYA YA LINDI MJINIimage Mgombea Uenyekiti wa CCM Wilaya ya Lindi Mjini,Muhsin Rafii Ismail Akikabidhiwa fomu ya kuomba ridhaa ya Wanachama wa CCM Wilaya hiyo kumchagua kuwa Mwenyekiti 2012-2017...Anayekabidhi ni Katibu wa CCM -Lindi Mjini,Bw Mohamed Kateva Anayeshuhudia ni Katibu Msaidizi wa CCM Lindi mjini
image Muhsin Rafii Ismail akifika katika Jengo la CCM Mkoa wa Lindi kwa ajili ya kuchukua fomu ya kuomba Uenyekiti wa CCM wilaya ya Lindi Mjini huku wadau wakimuunga mkonoimage Wadau hawakuwa nyuma kumsindikiza Muhsin kwa Bodaboda
Katika heka heka hizo Ngazi ya wilaya Mwenyekiti mtetezi wa nafasi hiyo Bw Manyanya Mohamed Nasib nae amechukua fomu kutetea kiti chake Huku Muhsin Rafii akitupa karata yake kwa Mara ya pili kugombea Nafasi hiyo baada ya Kushindwa katika Uchaguzi wa mwaka 2007 Naye Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM Tanzania ambae Pia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Bw Ally Mohamed Mtopa amechua fomu kutetea nafasi yake hii leo Mjini Lindi

HABARI NA MWANDISH Abdulaziz Video-LINDI

About Author

Advertisement

 
Top