Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)wilaya ya Lindi mjini, wmefanya uchaguzi wa Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo katika wilaya yao,pia wamefanya uchaguzi wa wajumbe wengine wa halmashauri kuu ya Wilaya na mkutano mkuu wa Wilaya.
Uchaguzi huo ambao umefanyika katika Ukumbi wa Lindi Oceanic Hotel Leo,Umefunguliwa na mgeni Rasmi ambae ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi,Dr. Nassor Ally Hamid, lakini pia ulihudhuriwa na wageni mbalimbali ambao ni viongozi na wajumbe wa mkutano mkuu wa Mkoa kutoka katika kila Kata za Wilayani humo, ambapo takribani wajumbe 300 kutoka kata 18
walihudhuria na kupiga kura katika uchaguzi huo.
Matokeo ya chaguzi hizo tutawaletea
HABARI NA ABDULAZIZ VIDEO-LINDI