Unknown Unknown Author
Title: OFISI YA BUNGE YAKABIDHIWA NA SERIKALI YA CHINA MSAADA WA VIFAA VYA TEHEMA VYENYE TAHAMNI YA DOLA ZA KIMAREKANI LAKI MOJA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akipokea kutoka kwa Balozi wa China hapa Nchini Mhe. Dkt. LU Youquing baadhi ya Vifaa vya TEHAMA vili...
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akipokea kutoka kwa Balozi wa China hapa Nchini Mhe. Dkt. LU Youquing baadhi ya Vifaa vya TEHAMA vilivyotolewa serikali ya China kwa ajili ya kusaidia shughuli za Bunge. Vifaa hivyo vyenye thamani ya Dola za Kimarekani laki moja vimekabidhiwia leo katika hafla iliyofanyika Ofisi ya Spika jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akizungumza kutoa neno la shukrani mara baara ya kupokea vifaa hivyo.

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkabidhi zawadi ya picha ya Jengo la Bunge Balozi wa China hapa Nchini Mhe. Dkt. LU Youquing mara baada ya hafla ya kukabidhi vifaa vya TEHAMA.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top