TBL WAKABIDHI JEZI SIMBA NA YANGA KWA AJILI YA KAGAME

Kaimu Meneja wa Kilimanjaro Beer, Oscar Shelukindo akimkabidhi jezi Meneja wa Yanga, Hafidh Suleiman kushotoShelukindo kushoto akimkabidhi jezi Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geoffrey Nyange 'Kaburu'

Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wadhamini wa klabu za Simba na Yanga kupitia bia ya Kilimanjaro Premium Lager, leo wamekabidhi vifaa vya michezo kwa klabu hiyo kwa ajili ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame inayoanza kesho hadi Julai 28 mjini Dar es Salaam. Shuhudia hafla hiyo ambayo ilifanyika makao makuu ya TBL Ilala mjini Dar es Salaam.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post