DAU LA MAHARI YA DIVA WA CLOUDS FM HII HAPA

diva

Mtangazaji maarufu wa Clouds FM Diva  Loveness love anayetamba na kipindi chake cha usiku cha Ala za roho amefunguka katika mahojiano na Adam Mchomvu kwa anayetaka kumuoa lazima awe na shilingi milioni 500 kwa ajili ya MAHARI TUU
Katika mahojiano hayo Mchomvu alitaka kujua kama mtu atataka kumtoa nyumbani kwao ajiandae kwa mahari ya shilingi ngapi ndipo Diva akamwambia
"Actual milioni mia tano ela ya kumleta Beyonce Tz, I need a royal wedding....... "
Je ni kweli mdada ataolewa kwa kiwango hicho hapa Tz?? Yetu masikio na macho tuone jamaa aanyetoa Milioni 500 cash kwa ajili ya kumuoa pesa ambayo Mchomvu mwenyewe anakwambia hiyo pesa yeye bora akafungue kiwanda cha malapa...!!!

BOFYA HAPO UMSIKILIZE HAPA

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post